Sidebar with Floating Button
MHUBIRI
☰
AckyShine

Ujanja alioutumia msichana wa kazi ili apandishiwe mshahara na mama mwenye nyumba

Featured Image

Msichana wa kazi alitaka mama mwenye nyumba ampandishie mshahara….. Mama mwenye nyumba akamwambia msichana ampe sababu tatu za kutaka kupandishiwa mshahara.

Msichana: Napika vizuri kuliko wewe.

Mama: Nani kakuambia?

237 Comments

Wachaga kweli kiboko: Mcheki huyu mchaga na mbuzi!!!

Featured Image
236 Comments

Tatizo la kukuta nywele kwenye chakula

Featured Image
236 Comments

Angalia huyu secretary anavyomjibu bosi wake

Featured Image
Boss mmoja aliingia kazini kwake kasahau kufunga zipu ya suruali yake sasa secretary wake akamfuata na mazungumzo yakawa hivi: SECRETARY: Boss leo umesahau kufunga geti nyumbani kwako… Boss akabaki anashangaa… Baadae wakati anakwenda chooni kujisaidia ile anataka kufungua zipu akaikuta iko wazi ndio akajua alichokuwa ameambiwa na Secretary wake.
236 Comments

Mapenzi Stress tupu

Featured Image
236 Comments

Sababu ya jamaa kujiita fara ugenini

Featured Image
MZEE:"sasa huyu mgeni sijui alale wap?" MKE:"saa hizi ni usiku akalale na Bebi." jamaa akaona huyo Bebi pengne mtoto anakojoa kitandani au akalia asije msumbua usiku
236 Comments

Safari ni safari

Featured Image
236 Comments

Ikitokea hii kwenye chumba cha mtihani

Featured Image
237 Comments

Huyu jamaa kawaweza wapenda vya bure

Featured Image
238 Comments

Jamaa anayependa kuwafanyia watu uhuni leo kapatikana na huyu mdada

Featured Image
239 Comments
πŸ“˜ About πŸ”’ Login πŸ“ Register πŸ“ž Contact