Log in to access your menu with tools for managing ๐ tasks, ๐ฅ clients, ๐ฐ finances, ๐ learning, ๐ personal growth, and ๐ spirituality, all in one place!.
Unganisha imani na maisha yako kupitia ๐ Sala, ๐ Masomo ya Misa, ๐ Mafundisho, ๐ก Tafakari, ๐ฐ Makala, na ๐ My System kwa usimamizi wa maisha binafsi. Tunakukaribisha kwenye safari ya kiroho na kimwili!.
Updated at: 2024-05-25 17:44:57 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
๐Ujinga wa ndoto ndiyo huu โขโขUtaota umeokota dolla ukiamka emptyโฆ โขโขUtaota umeokota dhahabu ukiamka kitandani patupu daadeeki OTA Sasa UMEKOJOAโฆ.. ๐๐๐๐๐๐
Angalia kilichojiri katika semina ya wanandoa kuhusu upendo
Updated at: 2024-05-25 18:00:09 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Kulikuwa na semina ya wanawake kuhusu namna ya kuishi kwa upendo katika ndoa. Mwalimu aliwauliza ni wangapi wanawapenda waume zao? Wote wakanyoosha mikono kama ishara ya kuwa wanawapenda waume zao. Mwalimu akauliza tena, โNi lini mara ya mwisho umemwambia mumeo โNakupenda Mpenziโ?
Majibu yalikuwa kama ifuatavyo: Wengine wakisema Asubuhi ya leo, Wengine jana, Wengine wiki iliyopita Wengine mwezi uliopita Na wengine wakasema hawakumbuki! Mwalimu aliwapa kazi kila mwanasemina achukue simu yake na kumtumia mume wake meseji yenye neno โNAKUPENDA MPENZIโ Baada ya meseji kwenda aliwaamuru kubadilishana simu kila mtu na jirani yake. Kila mwanasemina aliambiwa kusoma meseji za majibu kwenye simu aliyoshika
Simu ya 1 โ โSamahani, nani mwenzanguโ! Simu ya 2 โ โSamahani, wrong numberโ! Simu ya 3 โ โSi nimekuambia usinitumie messages kwenye namba hiiโ! Simu ya 4 โ โMh! leo mvua itanyeshaโ! Simu ya 5 โ โNikija tutaongea zaidiโ! Simu ya 6 โ โโฆโฆImedhibitishwa umepokea Tsh300,000 kutoka kwa โฆโฆโ! Simu ya 7 โ โMe tooโ! Simu ya 6 โ โHuu ujumbe ndio ulikuwa unamtumia huyo hawara yako ee, leo utanikomaโ!
Ufugaji wa nguruwe kazi, Cheki jamaa hawa wake walivyompa mtihani
MWANAHARAKATI: Hawa nguruwe unawalishanini?
.
MFUGAJI: Nawalisha mabaki ya chakula toka migahawa mbalimbali
.
MWANAHARAKATI: Hayo ni makosa unawatesawanyama kwa kuwalisha chakula kichafu. Akapigwa fainiโฆ Baada ya siku chache wakaja wanaharakati toka Umoja wa Mataifa
Updated at: 2024-05-25 18:08:04 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
MWANAHARAKATI: Hawa nguruwe unawalishanini? .
MFUGAJI: Nawalisha mabaki ya chakula toka migahawa mbalimbali . MWANAHARAKATI: Hayo ni makosa unawatesawanyama kwa kuwalisha chakula kichafu. Akapigwa fainiโฆ Baada ya siku chache wakaja wanaharakati toka Umoja wa Mataifa . MWANAHARAKATI: Hawa nguruwe unawalisha nini? .
MFUGAJI: Huwa nawaanzia siku na uji wa ulezi, halafu mikate, mchana ugali kwa kabeji na usiku viazi . MWANAHARAKATI: Loh watu wanakufa kwa njaa wewe unalisha nguruwe, akapigwa fainiโฆ.siku chache baadae wakaja wanaharakati wa Mazingira . MWANAHARAKATI: Hawa nguruwe unawalisha nini? . MFUGAJI: (Kwanza akasita kidogo) Hawa huwa nawapa shilingi alfu tano kila mmoja kila siku halafu wao wenyewe wanaenda kununua chakula wanachokitaka.. .
Cheki jamaa alivyoumbuka baada ya kuhudhuria semina isiyomuhusu
Jamaa kavamia semina ya wasomi iliyokua inafanyika maeneo ya ubungo plaza bas wakaanza kujitambulisha 1. Naitwa Anna niko SUA mwaka3 nasoma agriculture 2. Naitwa Stella niko UDSM mwaka2 nasoma public relation
ย
Updated at: 2023-04-29 22:53:54 (3 years ago by Melkisedeck Leon Shine)
Jamaa kavamia semina ya wasomi iliyokua inafanyika maeneo ya ubungo plaza bas wakaanza kujitambulisha 1. Naitwa Anna niko SUA mwaka3 nasoma agriculture 2. Naitwa Stella niko UDSM mwaka2 nasoma public relation
3. Naitwa Emmanuel niko UDOM mwaka3 nasoma computer science bas jamaa nae akainuka kwa kusuasua huku akijishtukia akasema"Naitwa Elisha niko Tanesco mwaka wa 7 nasoma mita"
Updated at: 2024-05-25 17:07:36 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
SWALI: Nini maana ya matatizo..?
JIBU: matatizo ni pale unapopewa adhabu na mwanajeshi then akakuruhusu uondoke, lakini ukarukia pikipiki yako halafu ukapayuka..!!!!!ย Mwanajeshi, wee boya Tu