Sidebar with Floating Button
MHUBIRI
AckyShine

Majibu ya mkato ya kuchekesha Kutoka Kenya

Featured Image
236 Comments

Angalia uhuni wa huyu dereva

Featured Image
Dereva alikamatwa kwa kosa la kusababisha ajari ya watu wa5 aliowagonga. Trafik akamuliza kwanin umewagonga awa watu? Jamaa akajibu,"nilikua mwendo wa kasi sana, alafu nimejaza abiria ndani, gari likawa linakuja mbele yangu nilipokanyaga breki zikakatika, sasa ningefanya nin?"
236 Comments

Cheki huyu mzee alichomfanyia muuzaji wa pharmacy

Featured Image
Mzee kaingia pharmacy, MZEE: Mambo mwanangu, kuna kitu naomba uonje nitakulipa MFAMASIA: Kitu gani?….Mzee akatoa kichupa na kijiko akaweka …majimaji yaliyomo kwenye kichupa kwenye kijiko na kumwambia mfamasia aonje, mfamasia akatia yale maji mdomoni na kuyazungusha zungusha mdomoni akionja;
238 Comments

Njia 3 rahisi za kuondoa kitambi

Featured Image
236 Comments

Tabia za Kimama kwa wanaume

Featured Image
236 Comments

Eti kupooza chai kwa kizungu inaitwaje?

Featured Image
238 Comments

Cheki hawa washikaji wanachokifanya baada ya kuvuta bangi, Bangi si mchezo

Featured Image
236 Comments

Huyu mwanamke kazidi sasa

Featured Image
236 Comments

Cheki huyu jamaa anachomfanyia huyu mrembo kanisani

Featured Image
Jamaa kaenda kanisani akakaa karibu na mrembo. Wakati mahubiri yakiendlea jamaa akaanza kuingiza vocal: Jamaa: dada mi nakupenda saana Dem: Kaka naomba umsikilize mchungaji
236 Comments

Baada ya walevi wawili kuokota kioo hiki ndicho kilifuata

Featured Image
Angalia kilichotokea Walevi wawili waliokota kioo, mlevi wa 1 akaangalia muda mrefu kisha akasema "hii sura sio ngeni machoni mwangu sema jina tu silikumbuki..! !!
236 Comments
📘 About 🔒 Login 📝 Register 📞 Contact