Sidebar with Floating Button
MHUBIRI
☰
AckyShine

Huruma ya Mungu: Nguvu ya Ukombozi na Utakaso

Featured Image
Huruma ya Mungu ni kama jua lenye nuru ya utakaso na ukombozi. Ni nguvu inayotupa tumaini na kuijaza mioyo yetu furaha isiyoelezeka.
50 Comments

Yesu Yupo Karibu na Wewe Unapoanguka Dhambini: Huruma ya Yesu Kristo kwa Mwenye dhambi

Featured Image
Wakati mtu anapoanguka dhambini ndio wakati ambao Yesu anakua karibu na mtu sana hata kuzidi wakati mwingine wowote. Wakati mtu anapoanguka dhambini ndio Yesu anakua karibu zaidi, lakini tatizo ni kwamba huo ni wakati ambao mtu hawezi kutambua uwepo wa Yesu. Neno moja tuu la Matumaini na Upendo wakati huo linaweza kumfungua mtu na kumbadilisha.
100 Comments

Huruma ya Mungu: Chemchemi ya Upendo Usiokwisha

Featured Image
Kuna kitu kimoja duniani ambacho hakina mipaka, na hicho ni huruma ya Mungu. Ni chemchemi ya upendo usiokwisha, inayoendelea kutiririka kwa neema na baraka. Ni raha ya moyo na faraja ya roho. Na ndio sababu tunapenda kumwabudu Mungu wetu mwenye huruma.
50 Comments

Huruma ya Mungu: Kuponya Majeraha ya Roho

Featured Image
Huruma ya Mungu ni ya kweli na inaweza kuponya majeraha ya roho yako!
50 Comments

Karibu Ujitafakari: Kwa nini Unasali na Kumuabudu Mungu? Jifunze Kitu Hapa

Featured Image
Embu tafakari kwa nini unasali na Kumuabudu Mungu! Je unasali kwa hofu ya kutokua na uhakika na maisha? Je unasali kwa sababu ya shida na matatizo katika maisha? Je unasali kwa kuwa unaona wengine wanasali kwa hiyo unafikiri na wewe lazima usali? Soma hii, Ujitafakari
100 Comments

Wakati unapitia magumu usikate tamaa

Featured Image

Kuna Kipindi katika maisha yako unaweza ukapitia mambo Fulani magumu hadi ukaanza kujiuliza,hivi kwa nini yote haya yananitokea?Why Me God?.Na Mimi nimeshawahi kupitia katika hali hii.

Nilichojifunza ni kuwa hakuna changamoto ya kudumu milele na katika kila kinachoonekana Leo kuwa hakina majibu,ukiamini kuwa inawezekana basi utapata majibu yake.

50 Comments

Kuomba Huruma ya Mungu: Njia ya Upatanisho na Utakaso

Featured Image
Kuomba Huruma ya Mungu: Njia ya Upatanisho na Utakaso Wakati mwingine tunahitaji kusafisha roho zetu na kusimama katika utakatifu. Kuomba huruma ya Mungu ni njia bora ya kufikia hili. Ni wakati wa kusimama mbele za Mungu na kuomba msamaha kwa dhambi zetu, tukiamini kwamba yeye atatupatanisha na kutakasa roho zetu. Kwa hivyo, hapa ndiyo tunapoomba huruma ya Mungu, tunapata njia ya upatanisho na utakaso. Ni wakati wa kubadilisha mwelekeo wa maisha yetu na kumruhusu Mungu awe na udhibiti kamili. Kwa hivyo, acha kila kitu na chukua muda wako kwa sala, kuomba huruma ya Mungu na kusafisha roho yako.
50 Comments

Kwa nini Mungu hatendi mpaka umwambie au umuombe? Kwa nini tusali?

Featured Image
Mungu anapenda kutenda jambo baada ya mtu kumuomba/kusali ili mtu aelewe Ukuu wa Mungu na ili Mungu atukuzwe. Kama kila kitu mtu anachotaka kingekua kinafanyika, Binadamu asingemkumbuka Mungu na Mungu asingetukuzwa
100 Comments

Huruma ya Mungu: Ulinzi na Uongozi katika Maisha

Featured Image
"Huruma ya Mungu: Kifungua Moyo cha Ulinzi na Uongozi Katika Maisha" - Kila wakati Mungu yuko karibu na sisi, akiwa tayari kutulinda na kutuongoza kwa njia sahihi. Ni wakati wa kutambua huruma ya Mungu na kuitumia kama kifungua moyo cha usalama na mafanikio maishani. Pamoja na Mungu, tunaweza kufurahia maisha ya raha na amani.
50 Comments

Safari ya kupata fadhila ya Unyenyekevu

Featured Image
Fadhila ya Unyenyekevu ni matunda ya Upendo na Uvumilivu kwa hiyo ili kufikia Unyenyekevu yakupasa kuwa na Upendo wa kweli kwa Mungu na Wanadamu huku ukiwa mvumilivu, Mwisho wa yote hayo utapata fadhila ya Unyenyekevu
100 Comments
πŸ“˜ About πŸ”’ Login πŸ“ Register πŸ“ž Contact