Warning: session_start(): open(/var/cpanel/php/sessions/ea-php81/sess_7355e634f8d40597369bcaa158d3e982, O_RDWR) failed: No such file or directory (2) in
/home/ackyshine/mhubiri/display_user.php on line
4
Warning: session_start(): Failed to read session data: files (path: /var/cpanel/php/sessions/ea-php81) in
/home/ackyshine/mhubiri/display_user.php on line
4
SALA YA KUUABUDU MOYO MTAKATIFU WA YESU KATIKA EKARISTI TAKATIFU
Date: May 1, 2016
Author: DIN - Melkisedeck Leon Shine
Kwa nguvu zangu zote za moyo wangu/ ninakuabudu ee Moyo Mtakatifu/ na Mwabudiwa sana,/ Moyo Mtakatifu wa Bwana wetu Yesu Kristu/ ambao ninataka kumpenda/ na kukusalimu kwa usikivu unaoendelea./ Kamwe nisikuudhi tena/ kwa sababu Wewe ni Mwema sana;/ Ee Mwema sana./ Ee Moyo Mtakatifu sana/ ninakupenda/ na ninataka kukupenda zaidi ya vitu vyote,/ kwa nguvu zangu zote/ na kwa uwezo wangu wote,/ ninatamani kuwa mali yako/ Wewe uliyejitoa Msalabani kwa ajili yangu/ kwa mateso makali./ Unionee huruma na udhaifu wangu/ na usiniruhusu kupotea./
Ninajitoa kabisa kwako/ ee moyo wa mapendo,/ kwa makusudi kuwa utu wangu,/ maisha na mateso yangu/ yalipie kukupenda,/ kukuheshimu/ na kukutukuza Wewe sasa na milele./ Ninakupenda ee Moyo Mwabudiwa wa Mwokozi wangu,/ ninakuomba kwako/ uamuru moyo wangu na kila kitu ndani yangu/ kikutukuze sasa na milele./ Amina.
(Na Mt Margareta Maria Alakoki)
Warning: session_start(): open(/var/cpanel/php/sessions/ea-php81/sess_7355e634f8d40597369bcaa158d3e982, O_RDWR) failed: No such file or directory (2) in
/home/ackyshine/mhubiri/comments.php on line
4
Warning: session_start(): Failed to read session data: files (path: /var/cpanel/php/sessions/ea-php81) in
/home/ackyshine/mhubiri/comments.php on line
4
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
(Sala iliyotungwa na Mtk. Aloisi)
Bibi yangu mtukufu Maria, nakuwekea amana ya roho yangu na...
Read More
Ee Mtukufu Mt. Yosefu, ulichaguliwa na Mungu kuwa Baba Mlishi wa Yesu, mchumba safi kabisa wa Mar...
Read More
Ee Yesu Mfungwa wa Upendo wa Mungu,/ ninapofikiri Upendo wako na jinsi ulivyojitolea kwa ajili ya...
Read More
Read More
Ee Mt. Yosefu, ambaye ulinzi wako ni mkubwa, wenye nguvu na wa haraka mbele ya Kiti cha Enzi cha ...
Read More
Ee Yesu Kristu,/ Bwana wangu na Mungu wangu/ ambaye ninasadiki kuwa upo hapa/ katika Sakramenti T...
Read More
1. NDIMI BWANA MUNGU WAKO, USIABUDU MIUNGU WENGINE.
2. USILITAJE BURE JINA LA MUNGU WAKO.Read More
Ee Mt. Yosefu, Baba Mlishi wa Mwokozi wangu, na mchumba safi wa Mama wa Mungu, leo ninakuchagua w...
Read More
Novena ya Noeli (maarufu kama novena ya Mt. Andrea)
Husaliwa kuanzia tar 30 Nov hadi usiku ...
Read More
Mungu wangu ninatubu sana, niliyokosa kwako, kwani ndiwe mwema, ndiwe mwenye kupendeza, wachukiz...
Read More
SALA YA KUMWABUDU BWANA YESU KATIKA SAKRAMENTI TAKATIFU
Ee Yesu Kristu,/ Bwana wangu na M...
Read More
Malkia wa mbingu, furahi, aleluya. Kwani uliyestahili kumchukua, Aleluya. Amefufuka alivyosema, A...
Read More
Joyce Nkya (Guest) on August 21, 2017
🙏❤️ Mungu akubariki
Monica Adhiambo (Guest) on August 3, 2017
🙏❤️🌟 Asante Mungu kwa uhai
Lydia Mutheu (Guest) on May 7, 2017
Rehema hushinda hukumu
Monica Adhiambo (Guest) on April 2, 2017
🙏❤️💖 Tumshukuru Mungu kwa yote
Edward Chepkoech (Guest) on March 16, 2017
🙏✨❤️ Neema za Mungu zikufunike
Nancy Akumu (Guest) on February 4, 2017
Sifa kwa Bwana!
Stephen Amollo (Guest) on September 28, 2016
🙏🌟 Mungu alete amani
Grace Wairimu (Guest) on September 26, 2016
Mungu ana mpango kwa ajili yako, muamini
Violet Mumo (Guest) on July 21, 2016
🙏✨ Mungu atakuinua
Dorothy Nkya (Guest) on June 19, 2016
Wacha imani yako iwe kubwa kuliko hofu yako
Anna Mahiga (Guest) on April 4, 2016
Neema na amani iwe nawe.
Grace Wairimu (Guest) on February 29, 2016
Ahadi za Mungu ni za kweli daima
Jacob Kiplangat (Guest) on February 16, 2016
🙏✨ Mungu asikie maombi yetu
Francis Mrope (Guest) on February 13, 2016
Tembea kwa imani, si kwa kuona
John Lissu (Guest) on January 26, 2016
🙏💖🙏 Mungu akufunike na upendo
Moses Kipkemboi (Guest) on January 25, 2016
Hata chembe ya haradali ya imani inaweza kusogeza milima
Elijah Mutua (Guest) on January 24, 2016
🙏💖✨ Neema yako ni ya kutosha
Janet Mwikali (Guest) on January 20, 2016
🙏✨💖 Mungu atajibu maombi yako
Nancy Komba (Guest) on January 6, 2016
Imani inakua imara zaidi wakati wa majaribu
Jackson Makori (Guest) on November 7, 2015
🙏🌟 Neema za Mungu zisikose
Irene Akoth (Guest) on July 22, 2015
🙏❤️💖 Baraka za Mungu ziwe nawe
Joseph Mallya (Guest) on July 19, 2015
Kwa Mungu, yote yanawezekana
David Chacha (Guest) on April 1, 2015
Hauko peke yako; Mungu yuko nawe