Warning: session_start(): open(/var/cpanel/php/sessions/ea-php81/sess_7e34859bdaa4ccbcff958fd105f04e86, O_RDWR) failed: No such file or directory (2) in
/home/ackyshine/mhubiri/display_user.php on line
4
Warning: session_start(): Failed to read session data: files (path: /var/cpanel/php/sessions/ea-php81) in
/home/ackyshine/mhubiri/display_user.php on line
4
SALA YA KUMWABUDU BWANA YESU KATIKA SAKRAMENTI TAKATIFU
Date: January 1, 2016
Author: DIN - Melkisedeck Leon Shine
Ee Yesu Kristu,/ Bwana wangu na Mungu wangu/ ambaye ninasadiki kuwa upo hapa/ katika Sakramenti Takatifu ya Altare;/ pokea kitendo hiki cha kukuangukia kifudi fudi/ kama ishara ya tamaa niliyonayo ya kukuabudu Wewe/ bila kuchoka/ na kukushukuru kwa mapendo yako makubwa/ yasiyo na kipimo/ ambayo Moyo wako Mtakatifu sana/ unawaka katika Sakramenti Takatifu hii./ Siwezi kukushukuru vizuri zaidi/ kuliko kama ningetolea kwako/ matendo yangu yote ya kukuabudu/ unyenyekevu wangu/ uvumilivu na mapendo/ ambayo huu Moyo Mwabudiwa ulifanya,/ bado unafanya/ na utaendelea kufanya katika uzima wa milele mbinguni./ Ninaahidi kupitia Moyo huu,/ nitakupenda,/ nitakutukuza,/ na nitakuabudu kama nitakavyoweza./ Ninajiunganisha na hii Sadaka Takatifu/ ambayo unatoa kwa Baba Mungu/ na ninatolea kwako utu wangu./ Ninakuomba kuangamiza ndani yangu/ dhambi zote pamoja na majeraha yake/ na usikubali kunitenga nawe milele./ Amina.
(Na Mt. Margareta Maria Alakoki)
Warning: session_start(): open(/var/cpanel/php/sessions/ea-php81/sess_a800954c9a0eb17dd5732cc7e3354ab3, O_RDWR) failed: No such file or directory (2) in
/home/ackyshine/mhubiri/comments.php on line
4
Warning: session_start(): Failed to read session data: files (path: /var/cpanel/php/sessions/ea-php81) in
/home/ackyshine/mhubiri/comments.php on line
4
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Ufuatao ni mtiririko wa Novena ya Roho Mtakatifu kwa siku zote tisa.
Kusali nov...
Read More
Sali Atukuzwe 7 kwa heshima ya Malaika 7 wateule ujipatie neema ya kuepa dhambi mbaya saba na kut...
Read More
Ewe Mungu Mwenyezi, sisi kama familia tunakushukuru kwa zawadi ya Mama Kanisa Katoliki ambaye sik...
Read More
Rozari ya Malaika Mkuu Mikaeli ni sala nzuri sana ya kumheshimu huyu Malaika Mkuu pamoja na makun...
Read More
- Bwana utuhurumie
- Bwana utuhurumie
- Kristo utuhurumie
- Bwana utuhurumie...
Read More
Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu. Amina.
SALA YA KUSHUKURU
Tunakus...
Read More
Tuusifu Utatu Mtakatifu wa Mungu Mwenyezi, Baba, Mwana na Roho Mtakatifu, milele na milele, Amina...
Read More
Tumia Rozari ya Mateso Saba ya Bikira Maria iliyo na mafungu 7 yaani mateso 7 yenye Salamu Maria...
Read More
(Sala iliyotungwa na Mtk. Aloisi)
Bibi yangu mtukufu Maria, nakuwekea amana ya roho yangu na...
Read More
TUNAKUSHUKURU, EE MUNGU KWA MAPAJI YOTE ULIYOTUJALIA LEO AMINA
BABA YETU…………â...
Read More
Anza Novena hii tarehe 19 Agosti ili kumalizia tarehe 27 Agosti na kush...
Read More
Mungu wangu,
nasadiki maneno yote linalosadiki na linalofundisha kanisa katoliki la Roma;Read More
George Mallya (Guest) on February 26, 2017
Kwa Mungu, yote yanawezekana
Chris Okello (Guest) on February 25, 2017
Tumaini ni nanga ya roho
Nora Kidata (Guest) on February 19, 2017
Upendo wa Mungu na rehema zake havikosei kamwe
Hamida (Guest) on February 7, 2017
ðŸ™ðŸ™ðŸ™
Nora Lowassa (Guest) on February 4, 2017
Mungu ana mpango kwa ajili yako, muamini
Elizabeth Mtei (Guest) on December 9, 2016
ðŸ™âœ¨ Mungu atupe nguvu
David Sokoine (Guest) on November 13, 2016
Mungu ni mwaminifu; hatakuacha kamwe wala hatakupungukia
Bernard Oduor (Guest) on September 6, 2016
Ahadi za Mungu ni za kweli daima
Agnes Sumaye (Guest) on August 16, 2016
Hadithi yako haijaisha; Mungu bado anaandika
Andrew Odhiambo (Guest) on July 24, 2016
Hauko peke yako; Mungu yuko nawe
Francis Mrope (Guest) on June 6, 2016
Rehema za Mungu ni kubwa kuliko kosa lolote
Chris Okello (Guest) on April 20, 2016
ðŸ™â¤ï¸ðŸ’– Bwana akujalie baraka
Lucy Kimotho (Guest) on January 30, 2016
Endelea kuwa na imani!
Jackson Makori (Guest) on January 26, 2016
Sifa kwa Bwana!
Sarah Karani (Guest) on January 25, 2016
ðŸ™â¤ï¸ Mungu ni mkombozi
Fredrick Mutiso (Guest) on January 20, 2016
ðŸ™â¤ï¸ Mungu ni mwaminifu
Catherine Mkumbo (Guest) on January 19, 2016
ðŸ™âœ¨ðŸ’– Mungu atajibu maombi yako
Edward Chepkoech (Guest) on September 23, 2015
ðŸ™ðŸ’– Nakusihi Mungu
Joseph Kawawa (Guest) on August 1, 2015
ðŸ™âœ¨ Mungu atakuinua
Sarah Karani (Guest) on June 24, 2015
ðŸ™âœ¨ Neema ya Mungu iwe nawe
Ann Awino (Guest) on June 12, 2015
Neema ya Mungu inatosha kwako
Victor Kamau (Guest) on June 7, 2015
ðŸ™ðŸ’– Nakushukuru Mungu
Samson Tibaijuka (Guest) on May 14, 2015
Amina