Warning: session_start(): open(/var/cpanel/php/sessions/ea-php81/sess_f13e60dc284bd5bd07e7852c1b3141db, O_RDWR) failed: No such file or directory (2) in
/home/ackyshine/mhubiri/display_user.php on line
4
Warning: session_start(): Failed to read session data: files (path: /var/cpanel/php/sessions/ea-php81) in
/home/ackyshine/mhubiri/display_user.php on line
4
Jinsi ya kufanya nyuki waingie kwenye mzinga mpya
Date: December 26, 2020
Author: SW - Melkisedeck Shine
Ukitaka kuwavutia na kuingiza nyiki kwenye mzinga unatakiwa kufanya yafuatayo;
- Tafuta mahali pazuri pa-kuningβiniza mzinga wako.
- Weka nta kwenye mizinga yako ili kuwavutia nyuki.
- Hakikisha unaweka mizinga yako katika hali ya usafi na kusiwe na wadudu. Nyuki hawapendi kukaa mzinga mchafu.
- Hakikisha hakuna siafu wala panya wanaoishi kwenye mzinga.
- Ningβiniza mzinga msimu ambao kuna makundi mengi ya nyuki yanayohama. Makundi ya nyuki huama wakati ambao nyuki wamezaliana kwa wingi na kuwepo malikia mwingine kwenye mzinga hivyo kusababisha kuhama ili kuunda kundi jingine. Msimu huo wa mgawanyiko ni rahisi nyuki kufanya makazi katika mzinga wako kwa haraka. Kama haujui msimu wa makundi ya nyuki kuhama waulize wakulima wenzio wanaofuga nyuki katika eneo lako.
Warning: session_start(): open(/var/cpanel/php/sessions/ea-php81/sess_f13e60dc284bd5bd07e7852c1b3141db, O_RDWR) failed: No such file or directory (2) in
/home/ackyshine/mhubiri/comments.php on line
4
Warning: session_start(): Failed to read session data: files (path: /var/cpanel/php/sessions/ea-php81) in
/home/ackyshine/mhubiri/comments.php on line
4
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Hakikisha unamuona mtaalamu wa mifugo mara uonapo dalili zozote za kuumwa kwa mifugo wako.
Tenga na...
Read More
Ukaguzi wa Kila siku
β’ Hakikisha unasafisha vyombo vya kulishia na kunywe...
Read More
Inafahamika kuku kutaga mayai mengi hutokana na aina ya mbegu ya kuku, ila jua kwamba hata aina y...
Read More
Mahindi ni miongon mwa mazao makuu ya chakula hapa nchin Tanzania na ulimwa karibu kila mkoa. Uli...
Read More
1. Nyumba ya kuku iwe safi na kavu muda wote kuzuia ueneaji na kuzaliana kwa vijidudu vya magonjwa
...
Read More
Hapa tuta hitaji kuku 11 tu wakubwa wanao taga yani majike 10 na Jogoo 1 tu. Kwa kutumia kuku hao...
Read More
Kichwa cha kabichi kinapofunga vizuri, hutumika kama chakula na huvunwa baada ya kufunga na kukom...
Read More
Mtaalamu wa nyuki
Unapohitaji unahitaji kufuga nyuki ni lazima uwe na uelewa wa m...
Read More
Mbinu hizo ni hizi zifuatazo;
1. Usiuchoshe sana udongo
Udongo ni kiungo muhimu sana katika uzalishaji wa mazao...
Read More
Mizinga ya Kifuniko juu (Top bar)
Hii ni aina ya mizinga inayotumika sana na weng...
Read More
Warning: session_start(): open(/var/cpanel/php/sessions/ea-php81/sess_f13e60dc284bd5bd07e7852c1b3141db, O_RDWR) failed: No such file or directory (2) in
/home/ackyshine/mhubiri/bottom_menu.php on line
3
Warning: session_start(): Failed to read session data: files (path: /var/cpanel/php/sessions/ea-php81) in
/home/ackyshine/mhubiri/bottom_menu.php on line
3
No comments yet. Be the first to share your thoughts!