Warning: session_start(): open(/var/cpanel/php/sessions/ea-php81/sess_6eb75d5570dd9003f8b0fcf183574d57, O_RDWR) failed: No such file or directory (2) in
/home/ackyshine/mhubiri/display_user.php on line
4
Warning: session_start(): Failed to read session data: files (path: /var/cpanel/php/sessions/ea-php81) in
/home/ackyshine/mhubiri/display_user.php on line
4
Ushauri kuhusu mwili wako
Date: March 27, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Nimekutana na hiki kitabu japo nimekipitia juu juu nikaona nisiwe mchoyo Wa kukushirikisha wewe utakayependezwa na kusoma hapa Chini japo ni changamoto sana kwa sisi waongo kusoma
Mwili wako jinsi ulivyo unatokana na kile unachokula au unachotumia.
Umeshawahi kujiuliza ni kwa nini mwili wako uko kama ulivyo?
Je unaridhika na huo mwili jinsi ulivyo?
Je vyakula unavyokula kila siku katika mizunguko yako ni Chakula sahihi?
Je unapata mlo kamili ili kuujenga mwili wako vizuri kiafya?
Unapata virutubisho stahiki mwili ili kuufanya mwili kuwa imara na wenye nguvu?
Kumbuka magonjwa mengi yanayotusumbua Mara kwa Mara yanatokana na ulaji mbaya tuliozoea.
Tunakuwa bize sana katika kazi tunazofanya kiasi kwamba hata kula tunasahau au tunakula mlo ambao sio stahiki kutokana na ubizeβ¦ Utakuta siku nzima kuazia asubuhi mpaka usiku mtu katumia tu wanga na siku zote mwendelezo ndio huoβ¦..asubuhi chai na mkate/chapati/maandazi/nk mchana unapiga ugali na jioni/usiku unakula wali/ubwabwaβ¦kwa hali hii ni lazima mwili uharibike.
Kila siku unatumia wanga/carbohydrate ndipo linapokuja suala la kunenepeana na kuwa na uzito ambao sio na kuutesa mwili.
Na pia kutokana na ubize tulio nao ndio unapelekea tunashindwa kula vizuri ila kuna virutubisho ambavyo waweza kutumia kila siku vikakusaidia kupata aina za vyakula vyote vinavyotakiwa mwilini hata kama unakuwa bize masaa 24 kila siku.
Kumbuka ulaji mbaya/mbovu utakusababishia madhara mengi katika huo mwili wakoβ¦tujitahidi kula vizuri ili kuuridhisha mwili na tuweze kuepukana na haya madhara.
Kumbuka mwili wako ni zaidi ya ulivyo na pia ni matokeo ya ulaji wakoβ¦β¦unayetaka kufahamu na kujua zaidi tutafutaneβ¦
Warning: session_start(): open(/var/cpanel/php/sessions/ea-php81/sess_6eb75d5570dd9003f8b0fcf183574d57, O_RDWR) failed: No such file or directory (2) in
/home/ackyshine/mhubiri/comments.php on line
4
Warning: session_start(): Failed to read session data: files (path: /var/cpanel/php/sessions/ea-php81) in
/home/ackyshine/mhubiri/comments.php on line
4
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Vifaa vya kieletroniki
Vifaa vingi vya kisasa vya kieletroniki vinasababisha kushuka kwa ...
Read More
Kuwa na harufu mbaya mdomoni ni kitendo kinachoweza kuathiri maisha ya mtu kimahusiano si kwa mpe...
Read More
Yafuatayo ni madhara ya shisha;
1.Kansa
Licha ya kupita ndani ya maji, moshi wa shisha huwa na kiwa...
Read More
Fenesi ni miongoni mwa matunda ya msimu yenye umbo la kipekee huku likiwa na ladha tamu isiyomith...
Read More
Kitaalamu chakula unachokula leo ndio kinaamua hali ya afya yako kwa siku za usoni. Na ni muhimu ...
Read More
Mshubiri au Aloe Vera kama ilivyozoeleka na namna nzuri kwa wale wote wanaotaka kubaki na ngozi ...
Read More
Mbegu za maboga zina protini na madini ya kutosha na ya mhimu zaidi mwilini kama madini ya zinki,...
Read More
Watu wengi hasa vijana watakuwa wanafahamu dawa ambazo hutumiwa sana kuzuia ujauzito pale ambapo ...
Read More
Kukosa choo ni tatizo kubwa katika jamii zetu japo huwa halionekani kama ni tatizo. Hata hivyo ku...
Read More
Huu ni ugonjwa ambao unasabababishwa na seli zilizopo katika mishipa ya fahamu zilizopo kwenye ubong...
Read More
Ugonjwa wa dengue ni tishio la ugonjwa hatari linaongezeka siku hadi siku. Dengue ni ugonjwa unao...
Read More
Kaswende husababishwa na bakteria aitwaye Treponema pallidum , ambaye pia huitwa spirochetes kutokan...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!