Warning: session_start(): open(/var/cpanel/php/sessions/ea-php81/sess_113b82ef3710e08e988a0b036c557c6a, O_RDWR) failed: No such file or directory (2) in
/home/ackyshine/mhubiri/display_user.php on line
4
Warning: session_start(): Failed to read session data: files (path: /var/cpanel/php/sessions/ea-php81) in
/home/ackyshine/mhubiri/display_user.php on line
4
Vyakula vya kukusaidia kupunguza uzito
Date: April 15, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Kuchagua vyakula sahihi kwa mlo wako inaweza kuwa changamoto na tungependa kuamini kwamba kupungua uzito ni jambo tu la kula kalori chache na kufanya mazoezi zaidi. Hata hivyo, si mara zote zoezi hili linakuwa rahisi. Kama ni lengo lako kupunguza uzito, kuchagua chakula gani ule ni muhimu kama kuchagua kiasi gani cha chakula ule.
Ukweli ni kwamba , baadhi ya vyakula vinauwezo wakusaidia kupunguza uzito kutokana na tabia zake za kuunguza mafuta mwilini.
Vifuatavyo ndivyo vyakula vinavyosaidia kupunguza uzito:
Mafuta ya Nazi
Mafuta ya nazi yanapanda chati kwa haraka kabisa na kufanya kuwa mojawapo ya vyakula bora kabisa kwa afya ya binadamu.
Mojawapo ya vitu muhimu kabisa katika mafuta haya ni uwezo wake wa kupunguza uzito wa mwili.
Mafuta ya nazi ni yana kemikali yenye mlolongo wa kati wa mafuta (βMedium Fatty Chain Acidsβ) ambayo humengβenywa tofauti na yale yenye mlolongo mrefu wa mafuta (βLong Fatty Chain Acidsβ)
Kemikali zenye mlolongo mrefu wa mafuta(βLong Fatty Chain Acidsβ) hupatikana kwa wingi katika vyakula vingi vya mafuta kaa vile nyama, chips n.k.
Kemikali zenye mlolongo wa kati wa mafuta hutumiwa na mwili kwa ajili ya nishati badala ya kuhifadhiwa kama mafuta katika mwili.
Hii ndio sababu mafuta ya nazi ni moja ya vyakula vyenye uwezo wa kuchoma mafuta mwilini na kusaidia kupungua uzito.
Siki ya Apple (Apple Cider Vinegar)
Siki ya Apple ina kiwango kikubwa cha kemikali za amino (amino acids) ,kemikali za kumengβenya chakula na madini na vitamini. Utafiti unaonyesha kwamba kutumia Siki ya Apple kabla ya kula vyakula vya wanga inasaidia kupunguza kupanda kwa insulin hivyo kusaidia kutopata hamu ya kula mara kwa mara.
Ndimu na Limao
Utafiti unaonyesha kuwa kiasi cha vitamini C mwilini kinahusiana na uzito wa mwili.
Watu wenye viwango vya kutosha wa vitamini C wana uwezo wa uwezo wa kuvunja asilimia 30 zaidi ya mafuta wakati wa mwili unapofanya shughuli za nguvu kama kazi za nyumbani,shambani na mazoezi kama kutembea, kuliko wale walio na kiwango cha chini cha vitamini C.
Kama una dhamira ya kupungua uzito, basi fikiria kuanza siku yako kwa kunywa glasi moja ya maji yenye ndimu au limao au anza kutumia siki(vinegar) kwenye kachumbali au saladi unapokula chakula.
Balungi
Balungi yana kiasi kidogo cha kalori , kiwango cha juu cha tindikali za kumengβenya chakula na inaweza kukufanya usijisikie njaa kwa muda mrefu.
Watafiti wamegundua kwamba kula nusu ya balungi kabla ya mlo ni inachangia sana kupoteza uzito . Pia kula nusu tu ya balungi kabla ya mlo inaweza kusababisha kupungua kwa kiasi cha glucose-insulin katika muda wa masaa mawili tu.
Kama wewe unahitaji kupungua uzito zingatia kula vyakula vinavyo kata mafuta na ongeza vyakula hivi vilivyotajwa katika mlo wako.
Kwa mafanikio ya muda mrefu , kazania kula vyakula kamili (vyakula visivyo kobolewa au kusindikwa) na kufanya mazoezi ya mara kwa mara.
Warning: session_start(): open(/var/cpanel/php/sessions/ea-php81/sess_113b82ef3710e08e988a0b036c557c6a, O_RDWR) failed: No such file or directory (2) in
/home/ackyshine/mhubiri/comments.php on line
4
Warning: session_start(): Failed to read session data: files (path: /var/cpanel/php/sessions/ea-php81) in
/home/ackyshine/mhubiri/comments.php on line
4
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Katika urutubishaji yai la mwanamke linabeba chromosome X yani XX. Na mbegu ya mwanaume inabeba c...
Read More
Vipo vitu mbalimbali ambavyo mama mjamzito hapaswi kuvitumia wakati wa ujauzito kwani vina athari...
Read More
Tafadhali soma na uwapelekee wengine.
Dr. Chriss Mosby wa Tanzania amegundua kensa mpya kwa...
Read More
Leo tutaongelea mazoezi gani ya kawaida ambayo mama mjamzito anaweza kuendelea kuyafanya kila sik...
Read More
Yafuatayo ni magonjwa na njia za kujitibu kwa kutumia matunda
KUTUBU KIUNGULIA
Aliy...
Read More
Mchanganyiko wa chumvi na mafuta ya zeituni (olive oil) ni dawa nyingine inayotibu chunusi. Mafut...
Read More
Watalam mbalimbali wa afya wanasema ya kwamba kwa kila siku ni vyema...
Read More
Vyakula vinavyofaa kuliwa wakati huu wa mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani ni vingi, leo tutaan...
Read More
Ni msukumo wa damu ulio juu kuliko inavyotakiwa kwa muda mrefu. Msukumo wa damu huhitajika mwilini i...
Read More
Unahitaji vitu vifuatavyo:
a)Binzari ya unga
b)Maziwa fresh
c)Asali
d)Baku...
Read More
Yafuatayo ni madhara ya shisha;
1.Kansa
Licha ya kupita ndani ya maji, moshi wa shisha huwa na kiwa...
Read More
Dawa za kuulia wadudu maarufu kama viwatilifu zimetengenezwa kwa lengo la kuangamiza wadudu wanao...
Read More
: session_start(): open(/var/cpanel/php/sessions/ea-php81/sess_113b82ef3710e08e988a0b036c557c6a, O_RDWR) failed: No such file or directory (2) in
: session_start(): Failed to read session data: files (path: /var/cpanel/php/sessions/ea-php81) in
No comments yet. Be the first to share your thoughts!