Warning: session_start(): open(/var/cpanel/php/sessions/ea-php81/sess_249aec5c6b110b03d7a7724aedf33ce0, O_RDWR) failed: No such file or directory (2) in
/home/ackyshine/mhubiri/display_user.php on line
4
Warning: session_start(): Failed to read session data: files (path: /var/cpanel/php/sessions/ea-php81) in
/home/ackyshine/mhubiri/display_user.php on line
4
Haki za ujinsia na afya ya uzazi zinamhusu pia mtu anayeishi na ualbino?
Date: April 15, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Haki za msingi; hasa zile zinazohusiana na kuthaminiwa na
kuheshimiwa kama binadamu zinawahusu binadamu wote
kuanzia siku unayozaliwa. Mataifa yote Ulimwenguni yameridhia
mikataba ya Kimataifa inayokubaliana na matamko haya ya
haki. Haki hizi ziko dhahiri katika sheria za nchi husika. Haki
muhimu za ujinsia na afya ya uzazi ni hizi:
β’ Kupata habari juu ya ujinsia na mada zinazohusu afya ya
uzazi.
β’ Mwanamke au mwanaume kuamua kwa uhuru na kuwajibika,
kama anataka kujamiiana lini na mtu gani.
β’ Kuamua idadi ya watoto anaotaka kuzaa na hao watoto
wapishane miaka mingapi.
β’ Kupata huduma za afya ya uzazi.
β’ Kuamua bila kulazimishwa nani wa kufunga naye ndoa.
β’ Kulindwa dhidi ya mila zenye madhara kama vile ukeketaji
wa wanawake.
Watu wote wakiwemo wale wanaoishi na ualbino au ulemavu
wa aina yoyote wanalindwa na haki za binadamu. Changamoto
iliyopo ni kwa wale watu wanaoishi na ualbino kutoa sauti katika
kutetea na kuhamasisha jamii juu ya haki zao.
Warning: session_start(): open(/var/cpanel/php/sessions/ea-php81/sess_249aec5c6b110b03d7a7724aedf33ce0, O_RDWR) failed: No such file or directory (2) in
/home/ackyshine/mhubiri/comments.php on line
4
Warning: session_start(): Failed to read session data: files (path: /var/cpanel/php/sessions/ea-php81) in
/home/ackyshine/mhubiri/comments.php on line
4
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Je, kuna tofauti ya kiumri katika ngono/kufanya mapenzi? Ndio! Kuna tofauti kubwa sana kati ya wa...
Read More
Je, Ni Vipi Kujilinda na Maambukizi ya Kisonono na Kaswende? π
Karibu, vijana wapendwa!...
Read More
Nifanyeje Kukabiliana na Hisia za Kuwa na Hamu ya Kufanya Ngono? ππ
Leo tutajadili j...
Read More
Kuna sababu kuu mbili i kwa wana ndoa kupata maambukizi i ya Virusi vya UKIMWI na UKIMWI.
Kw...
Read More
Ndiyo hatari kuu ya matumizi ya dawa za kulevya ambayo
unayazoea na kufikiri huwezi kufanya ...
Read More
Njia za Kujenga Uvumilivu na Msichana katika Changamoto za Maisha
Hakuna ubishi kwamba mai...
Read More
Ndiyo, mwanamke anaweza kufikia mshindo wakati wa kujamiiana. Dalili ya mwanamke kufikia mshindo ...
Read More
Je, Ni Vipi naweza Kukabiliana na Hisia za Kutokuwa Tayari kwa Ngono? π
-
Kwanz...
Read More
Kondomu ya kike inafahamika kwa jina la βcareβ na βLady Petetaβ. Hapa Tanzania hazipatika...
Read More
Jinsi ya Kukabiliana na Hisia za Kufadhaika na Utendaji wa Ngono/Kufanya Mapenzi ππ₯
...
Read More
Vituo vyenye utaalamu na katika hospitali i au Taasisis kama vile Shirika la Amref au CCBRT wana ...
Read More
Wanaume wengi huwa na shida katika kuongea na wanawake, hasa katika mazungumzo ya kina. Hii mara ...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!