Warning: session_start(): open(/var/cpanel/php/sessions/ea-php81/sess_abe66ce61ad8b633f2f6db259a0ec18a, O_RDWR) failed: No such file or directory (2) in
/home/ackyshine/mhubiri/display_user.php on line
4
Warning: session_start(): Failed to read session data: files (path: /var/cpanel/php/sessions/ea-php81) in
/home/ackyshine/mhubiri/display_user.php on line
4
Je, kuna madhara kama mtu akikaa muda mrefu bila kufanya mapenzi?
Date: April 17, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Ukweli ni kwamba hakuna madhara yoyote ya kiafya ukikaa muda mrefu bila kujamii ana. Hakuna madhara yatakayokutokea kwenye sehemu zako za siri au katika sehemu nyingine ya mwili wako. Mwanaume au mwanamke akianza kujamii ana baada ya kukaa muda mrefu, atapata raha na starehe.
Watu wengine wanasema kwamba kutofanya mapenzi kunasababisha kuwa na chunusi usoni au sehemu za siri, au hata kuchanganyikiwa kiakili. Siyo kweli kwamba hali hizi zinasababishwa kwa kutojamii ana, vyanzo vya hali hizi ni tofauti.
Uwe na uhakika kwamba kutojamii ana ni salama kabisa kwako na huwezi kupata madhara yoyote. Lakini kama tulivyosema awali, kujamii ana kunaweza kukaleta matatizo mengi kama mimba i isiyotarajiwa, magonjwa ya zinaa pamoja na maambukizo ya VVU na UKIMWI.
Warning: session_start(): open(/var/cpanel/php/sessions/ea-php81/sess_abe66ce61ad8b633f2f6db259a0ec18a, O_RDWR) failed: No such file or directory (2) in
/home/ackyshine/mhubiri/comments.php on line
4
Warning: session_start(): Failed to read session data: files (path: /var/cpanel/php/sessions/ea-php81) in
/home/ackyshine/mhubiri/comments.php on line
4
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Punyeto ni kupapasa au kusugua kiungo cha uzazi ili uweze kupata
starehe. Hakuna kosa kwa te...
Read More
Ndoa ya kulazimishwa ni ile ambayo mwanamume au mwanamke
anaozwa bila yeye mwenyewe kukubali...
Read More
Je, ni sahihi kufanya mapenzi na mpenzi wangu wa shule? 🤔
Habari vyote vijana! Leo tuta...
Read More
Njia pekee ya kujitambua kama umepata maambukizo ya
VVU ni kufanya kipimo cha damu (HIV-test...
Read More
Leo tutazungumzia njia za kujenga ushawishi na msichana katika uhusiano. Kujenga ushawishi kunama...
Read More
Leo tutaongelea kuhusu umuhimu wa kujadili mipaka ya faragha katika uhusiano wa ngono au kufanya ...
Read More
Sigara siyo dawa za kulevya, kwa maana ya kwamba ni haramu,
lakini hata hivyo, sigara ina ni...
Read More
Habari wapendwa, leo tutazungumzia njia za kufanya msichana amevutiwa na wewe kwa muda mrefu. Kun...
Read More
Kuna aina mbalimbali za ulemavu na kuna sababu mbalimbali za kuzaa mtoto mlemavu. Ulemavu wa mtot...
Read More
Nifanyeje Kukabiliana na Hisia za Kutotaka Kufanya Ngono? 😊
Leo, ningependa kuzungumza ...
Read More
Je, kuna haja ya kuzungumzia historia ya ngono/kufanya mapenzi ya kila mmoja katika uhusiano? Jib...
Read More
Nani na lini unaoa ni maamuzi yako binafsi wewe mwenyewe,
hata kama rafiki na wazazi wanakus...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!